Nenda kwa yaliyomo

Aptuca

Majiranukta: 36°24′34″N 8°56′25″E / 36.409344°N 8.940301°E / 36.409344; 8.940301
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

36°24′34″N 8°56′25″E / 36.409344°N 8.940301°E / 36.409344; 8.940301

Ramani ya mahali pa akiolojia nchini Tunisia.

Aptuca ilikuwa mji wa Roma ya Kale katika jimbo la Afrika ya Kiroma[1], leo hii eneo la Tunisia.

Eneo lake linajulikana sasa kwa jina la Henchir-Oudeka katika Wilaya ya Kef. Mji wa kihistoria ulikuwepo kando ya mto Oued Tessa. [2] Kati ya maghofu yaliyotambulika ni bafu ya umma[3]. Haijulikani mji huo ulikwisha mwaka gani.

Aptuca ilikuwa na askofu na Kanisa Katoliki linaendelea kutumia jina la mji kwa ajili ya askofu asiye na dayosisi hai.

  1. Caius Plinius Secundus, Geography: Africa and Asia: Natural History / Historia Naturalis in 37 volumes (Walter de Gruyter, Jan 1, 1993) p142.
  2. .B. Hitchner, R. Warner, R. Talbert, T. Elliott, and S. Gillies, 'Aptuc(c)a: a Pleiades place resource', Pleiades: A Gazetteer of Past Places, 2012 <https://pleiades.stoa.org/places/314880> [accessed: 21 October 2016]
  3. Aptucca, tovuti ya Associazione storico-culturale Sant'Agostino, iliangaliwa Julai 2021
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aptuca kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.