Antili Kubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Antili Kubwa katika Bahari ya Karibi (Amerika ya Kati)

Antili Kubwa ni visiwa katika Bahari ya Karibi. Pamoja na Antili Ndogo, Visiwa vya Turks na Caicos na Bahamas vinaunda visiwa vya Karibi.

Antili Kubwa ni hasa visiwa vinne vikubwa vifuatavyo pamoja na visiwa vingi vidogo.

Orodha ya visiwa na funguvisiwa katika eneo la Antili Kubwa[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Coordinates: 21°59′N 79°02′W / 21.983°N 79.033°W / 21.983; -79.033

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Antili Kubwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.