Nenda kwa yaliyomo

Antonio Egas Moniz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka António Egas Moniz)
Antonio Egas Moniz

Antonio Caetano de Abreu Freire Egas Moniz (29 Novemba 187413 Desemba 1955) alikuwa daktari na mwanasiasa kutoka nchi ya Ureno. Hasa alichunguza neva za ubongo. Katika siasa alikuwa balozi ya Ureno kwa Hispania (miaka ya 1917 na 1918) na mwakilishi wa nchi yake kwenye mikutano ya kimataifa. Mwaka wa 1949, pamoja na Walter Hess alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Egas Moniz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.