Nenda kwa yaliyomo

Anna van der Breggen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya mwanariadha Anna Van der Breggen
Picha ya mwanariadha Anna Van der Breggen

Anna van der Breggen (Ameazaliwa 18 Aprili 1990) Ni mwanariadha wa zamani kutoka uholanzi anayejihusisha na mbio za baisikeli.[1] Alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya olimpiki katika majira joto 2016 .[2] 2018 na 2020, alishinda mashindano ya dunia kwa upande wa wanawake .[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Borys, Szymon (2015-07). "PC Worx environment as a support for learning PLC programming". Mechanik (7): 556/51–556/56. doi:10.17814/mechanik.2015.7.213. ISSN 0025-6552. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)
  2. van der Breggen, Mathilde (2010-11). "Casemanagement". Pallium. 12 (5): 15–17. doi:10.1007/s12479-010-0096-8. ISSN 1389-2630. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)
  3. van der Breggen, Mathilde (2010-11). "Casemanagement". Pallium. 12 (5): 15–17. doi:10.1007/s12479-010-0096-8. ISSN 1389-2630. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)
  4. van der Breggen, Mathilde (2010-11). "Casemanagement". Pallium. 12 (5): 15–17. doi:10.1007/s12479-010-0096-8. ISSN 1389-2630. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)