Anna-Marie Keighley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anna-Marie Keighley (alizaliwa 30 Juni 1982) nimwamuzi wa mpira wa miguu wa Nyuzilandi.

Amechezesha mechi katika ngazi ya kimataifa tangu mwaka 2010, ikiwa pamoja na Kombe la Dunia la FIFA la wanawake na mashindano ya Summer Olympics. [1]

Nje ya kazi ya uamuzi, pia ni mwalimu wa shule ya Rototuna Senior High School. [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna-Marie Keighley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.