Nenda kwa yaliyomo

Anita Mahfood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anita "Margarita" Mahfood (alifariki 2 Januari 1965) alikuwa mchezaji wa dansi, mwigizaji na mwimbaji nchini Jamaika.

Alikuwa akijulikana kama malkia maarufu wa Rhumba na aliongoza matukio mbalimbali. Pia alitumbuiza muziki wa reggae na kuimba muziki wake mwenyewe, akiwa miongoni mwa wanawake wa kwanza nchini Jamaika kufanya hivyo.

Mahfood aliuawa mwaka 1965 na mpenzi wake Don Drummond wa bendi ya Skatalites.[1][2]

  1. Haugustyn (12 Desemba 2016). "Margarita the Rose". Skabook.com (kwa American English). Heather Augustyn. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Simmonds, Jeremy (2008). The Encyclopedia of Dead Rock Stars: Heroin, Handguns, and Ham Sandwiches. Chicago Review Press. uk. 26. ISBN 978-1-55652-754-8.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anita Mahfood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.