Anibal João Melo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anibal João da Silva Melo (alizaliwa Luanda, 5 Septemba, 1955) ni mwandishi, mwanahabari na mwanachama wa National Assembly of Angola. Kwa sasa ni mfanyakazi katika wizara ya mawasiliano ya kijamii.[1]

Anibal Joào da Silve Melo
Amezaliwa Anibal Joào da Silve Melo
5 septemba 1955
Luanda Angola
Miaka ya kazi mwandishi

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Anibal João Melo alizaliwa mnamo Septemba 5, 1955, huko Mkoa wa Luanda, Angola. Familia yake ni pamoja na baba yake, Anibal de Melo; mama yake, Helena Guerra; na dada yake, Marina Melo.

Baba yake alikuwa mwanajeshi na mpigania uhuru wa Angola na kwa sababu ya baba yake kushughulika na mambo ya kijeshi, alikuja kukutana naye tena akiwa na umri wa miaka kumi na tano. Alisoma masomo yake ya uandishi wa habari katika nchi ya Brazili na kuhitimu mwaka 1991

Anibal amekuWa akiandika tangu mwaka 1985 na kitabu chake cha kwanza kutoka ni Definição. Tangu wakati huo amekuWa akiendelea kuandika.

Kazi zilichapisshwa[hariri | hariri chanzo]

  • Definição (1985)
  • Fabulema (1986)
  • Poemas Angolanos (1989)
  • Tanto Amor (1989)
  • Canção do Nosso Tempo (1991)
  • Ocaçador de nuvens (1993)
  • Limites e Redundâncias (1997)
  • A luz mínima (2004)
  • Todas as palavras (2006)
  • Autorretrato (2007)
  • Novos poemas de amor (2009)
  • Cântico da terra e dos homens (2010).

Kazi nyingine[hariri | hariri chanzo]

Hadithi fupifupi

  • Imitação de Sartre e Simone de Beauvoir (1998)
  • Filhos da Pátria (2001)

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • Prémio Maboque de Jornalismo (2008)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Perfil". Assembleia Nacional. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-01. Iliwekwa mnamo 2020-04-29. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anibal João Melo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.