Anguko la tarakilishi
Katika utarakilishi, anguko au anguko la tarakilishi (kwa Kiingereza: Computer crash) linatokea wakati programu ya tarakilishi kama mifumo ya uendeshaji au programu tete zinaacha kufanya kazi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.