André Onana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Huyu ni Andre Onana

André Onana (alizaliwa 2 Aprili 1996) ni mchezaji wa soka wa Kamerun ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Ajax na timu ya taifa ya Cameroon.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu André Onana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.