Amrita Basu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amrita Basu ni msomi na mwanasayansi wa siasa wa nchini Marekani..[1]

Amrita Basu alizaliwa mnamo Desemba 1953 huko New York nchini Marekani. Ni binti wa wazazi waliofanya kazi Umoja wa Mataifa. Mama yake alifanya kazi katika masuala mbalimbali yanayohusiana na wanawake, na baba yake alishughulikia masuala yanayohusu uchumi.[2] Anazungumza lugha mbalimbali kama vile Kiingereza na lugha ya kifaransa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Amherst College website; https://www.amherst.edu/people/facstaff/abasu
  2. Whittemore, Katherine. "A Woman's Work Is Never Done". Amherst.edu. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amrita Basu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.