Amina Shukri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amina Shukri (kwa Kiarabu: أمينة شكرى, 1912 - 1964) alikuwa mfanyakazi wa jamii na mwanasiasa wa Misri. Mnamo 1957 alikuwa miongoni mwa wanawake wawili wa kwanza kuchaguliwa kuwa wabunge.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Shukri alizaliwa mjini Aleksandria mwaka 1921, mtoto wa Mohamed Abu El-Ezz aliyekuwa mhariri wa magazeti.[1] Alikuwa mtoa huduma za kijamii na alianzisha kituo cha kulea watoto ambacho alikuwa na watoto takribani 400, pia alikuwa mshiriki wa muungano wa kutetea haki za wanawake wa Misri.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amina Shukri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.