Amenze Aighewi
Mandhari
Amenze Aighewi
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Nigeria |
Nchi anayoitumikia | Nigeria |
Tarehe ya kuzaliwa | 21 Novemba 1991 |
Mahali alipozaliwa | Nigeria |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Nigerian Pidgin, Kiigbo |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Mwanachama wa timu ya michezo | Rivers Angels F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Amenze
Aighewi
Amenze Aighewi (alizaliwa 21 Novemba 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye alicheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Rivers Angels na timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Alikuwa mmoja kati ya wachezaji wa timu iliyocheza Kombe la Dunia la FIFA la 2011. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]{{reflist}
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amenze Aighewi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Official squad list 2011 FIFA Women's World Cup". FIFA. 17 Juni 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nigeria ohne Uwak zur WM". womensoccer.de. 14 Juni 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 14 Juni 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)