Allen Njie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Allen Njie (alizaliwa Brazzaville, 26 Julai 1999) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Liberia anayecheza kama kiungo.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Allen anacheza katika klabu ya LISCR na anaiwakilisha timu ya taifa ya Liberia katika mashindano ya mataifa ya Afrika.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allen Njie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.