Nenda kwa yaliyomo

Alin Firfirică

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alin Alexandru Firfirică (alizaliwa 3 Novemba 1995) ni mwanariadha kutoka Romania aliyejizatiti katika mchezo wa kurusha visahani[1]. Mnamo mwaka 2015 alishinda medali ya dhahabu katika Michuano ya ulaya ya wenye umri wa chini ya miaka 23 ya mwaka 2015. Baadae alishinda medali ya fedha katika michuano ya 2017 ya wenye umri wa chini ya miaka 23 ya ulaya ya mwaka 2017 na pia Summer Universiade ya 2017.

Katika matukio yake bora ni lile la mita 66.22 akiwa Zenica mnamo 2018.

  1. "Alin Alexandru FIRFIRICA | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alin Firfirică kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.