Alex Oxlade-Chamberlain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Chamberlain akiwa Arsenal FC.

Alexander Oxlade-Chamberlain (alizaliwa 15 Agosti 1993) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC na timu ya taifa ya Uingereza.

Baada ya kuongezeka kwa umaarufu katika timu yake ya Southampton wakati wa msimu wa 2010-11 akiwa umri wa miaka 17, alisainiwa Arsenal mnamo Agosti 2011. Alifunga mabao mawili katika mechi zake tatu za kwanza za klabu, Oxlade-Chamberlain akawa mchezaji mdogo zaidi wa Uingereza katika historia ya UEFA Champions League.

Alicheza misimu sita katika uwanja wa Emirates, alicheza michezo 198 na akafunga mabao 80, Alishinda Kombe la FA mara tatu. Na baadae Alisainiwa na Liverpool mwezi Agosti 2017.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Oxlade-Chamberlain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.