Alex Iwobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Alex Iwobi

Alex Iwobi (amezaliwa tarehe 3 Mei mwaka 1996) ni mchezaji anayetokea nchini Nigeria barani Afrika na pia ni mchezaji anayecheza katika klabu ya Arsenal F.C. iliyopo katika ligi kuu ya Uingereza.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Iwobi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

1996|