Alex Greenwood
Mandhari
[[Picha:
Alex Greenwood
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
Nchi anayoitumikia | Uingereza |
Jina katika lugha mama | Alex Greenwood |
Jina halisi | Alex |
Jina la familia | Greenwood |
Tarehe ya kuzaliwa | 7 Septemba 1993 |
Mahali alipozaliwa | Liverpool |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Beki, fullback |
Alisoma | Savio Salesian College |
Muda wa kazi | 2010 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2019 FIFA Women's World Cup |
-387_(46934118902)_(cropped).jpg|thumbnail|right|280px|Alex Greenwood]] Alex Greenwood (alizaliwa 7 Septemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Manchester United, ambapo ni nahodha wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Uingereza. Anacheza kama beki wa kushoto, anaweza pia kucheza kama beki wa kati.
Kazi ya klabi
[hariri | hariri chanzo]Alianza kucheza katika klabu ya Liverpool, Notts County na klabu ya Everton.
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Greenwood ameichezea timu ya taifa ya soka ya England mwaka 2014 na aliitwa katika kikosi kilichocheza timu ya wanawake ligi ya FA Mwaka 2012.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alex Greenwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |