Aleix García
Mandhari
Aleix García Serrano (alizaliwa 13 Januari 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Uhispania.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Updated squads for 2017/18 Premier League confirmed". www.premierleague.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aleix García kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |