Alba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shemasi wa Anglikana amevaa begani stola ya rangi juu ya alba.

Alba (kwa Kiingereza "alb", kutoka Kilatini "alba", yaani "nyeupe") ni kanzu inayotumiwa na yeyote anayehudumia katika ibada za madhehebu mbalimbali ya Ukristo.

Kwa asili ilikuwa vazi la kawaida la Warumi wa kale, lakini inalingana na vazi jeupe la washindi ambao walionekana na Yohane kuwepo mbinguni.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alba kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.