Alaba Jonathan
Mandhari
Alaba Jonathan
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Nigeria |
Jina halisi | Alaba |
Jina la familia | Jonathan |
Tarehe ya kuzaliwa | 1 Juni 1992 |
Mahali alipozaliwa | Calabar |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Nigerian Pidgin |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper |
Mwanachama wa timu ya michezo | Nigeria women's national football team, Nigeria women's national under-20 football team, Pelican Stars F.C., Nigeria national under-20 football team, Bayelsa Queens |
Eye color | dark brown |
Rangi ya nywele | black hair |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2019 FIFA Women's World Cup |
Alaba Jonathan (alizaliwa 1 Juni 1992 Calabar, Nigeria) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria. Jonathan ni mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria na amecheza mara moja katika timu hiyo. Jonathan aliiwakilisha nchi yake kama golikipa wa tatu katika Kombe la Dunia la FIFA la 2011 nchini Ujerumani. Hapo awali mwaka 2010 alishiriki katika Kombe la Dunia la chini ya umri wa miaka 20.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Unknown (2 Agosti 2013). "Futball Galore Media: Pelican Stars upset form books to qualify at the expense of Delta Queens".
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alaba Jonathan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |