Al-Mosailem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Yasser Abdullah Al-Mosailem (alizaliwa 27 Februari 1984) ni mchezaji wa soka wa Saudi Arabia ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Al-Ahli na timu ya taifa ya Saudi Arabia.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Mei 2018 alitajwa katika miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha kwenda kuwakilisha Saudi Arabia katika Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Urusi.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Al-Mosailem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.