Nenda kwa yaliyomo

Akari Matsukubo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akari Matsukubo (alizaliwa 25 Agosti 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya Chifure AS Elfen Saitama inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1]

  1. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |1= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akari Matsukubo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.