Aikido
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |

Aikido (kwa Kijapani: 合気道) ni sanaa ya mapigano ulioanzishwa na Morihei Ueshiba na uliobeba falsafa na imani ndani yake. Mchezo huo ulianza kuchezwa katika nchi ya Japani mnamo mwaka 1920 kama mbinu za kujihami zenye kumfunza mpiganaji kuhusu maadili ya heshima na imani. Wachezaji wake wanaamini kabisa katika kuitengeneza jamii bora na si kujihami na kupigana na maadui tu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Aikido kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |