Morihei Ueshiba
Mandhari

Morihei Ueshiba (14 Desemba 1883 – 26 Aprili 1969) anajulikana zaidi kama mgunduzi wa mchezo wa mapigano wa kujihami wa Aikido [1] uliokuwa ukijulikana mwanzo kama Aikibudo ama Aikinomichi
Alizaliwa katika kijiji cha Nishinotani nchini Japani akiwa mtoto pekee wa kiume katika familia ya watoto wanne ya Yoroku Ueshiba.