Adidas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni logo ya Adidas

Adidas ni kampuni ya kimataifa yenye makao makuu huko Herzogenaurach, Ujerumani, ambayo inaunda na kutengeneza viatu, nguo na vifaa.

Ni mtengenezaji mkubwa wa michezo huko Ulaya, na ukubwa wa pili duniani, baada ya Nike.

Kampuni ya Adidas, ndiyo ambayo ina kampuni ya michezo ya Reebok, kampuni ya golf ya TaylorMade (ikiwa ni pamoja na Ashworth),Runtastic, kampuni ya teknolojia ya Austria, na 8.33% ya klabu ya soka Bayern Munich.

Mapato ya Adidas mwaka 2016 yaliorodheshwa kwa bilioni 19.29.

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adidas kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.