Nenda kwa yaliyomo

Adi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mitzpe_Adi

Adi ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini wa rasi ya Bomberai kisiwani kwa Papua. Eneo la kisiwa ni km² 158. Makazi makubwa kabisa kisiwani huitwa Manggawitu; yako pwani kaskazini mwa kisiwa. Watu wakaao kisiwani kwa Adi huongea Kimalay cha Papua na Kikowiai.[1]

  1. "National Geographic Adi Island".
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.