Kimalay cha Papua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimalay ya Papua)

Kimalay ya Papua ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Papua imehesabiwa kuwa watu 500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Papua iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama krioli.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Papua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.