Nenda kwa yaliyomo

Adam Croasdell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adam Croasdell (kuzaliwa 10 Julai 1976) ni mwigizaji wa Uingereza mzawa wa Zimbabwe[1][2]. Amejitokeza katika filamu za Supernatural, The Chase, Holby City, Peak Practice, London's Burning, Filamu ya Agatha Christie Cat Among the Pigeons na Ultimate Force.[3] Mwaka 2009, alihusika kama Dkt Al Jenkins katika telenovela ya BBC kwa jina la EastEnders.[4] pia amehusika katika filamu nyingine kama The Prince and Me 3: Royal Honeymoon na Attack Force pia katika michezo ya jukwaani.[3]

Mwaka 2009, Croasdell alithibitisha kuwa mhusika mkuu katika michezo ya video the body double kwa jina la Daniel Craig iliyotoka mwaka 2010, alivaa uhusika na sifa za James Bond.[5]

Croasdell alishirikishwa katika filamu ya kimarekani ya Supernatural, akiwa kama Baldur mungu wa Norse, hii ni katika sehemu ya 5kipande cha 19 kwa jina la "Hammer of the Gods". Alihusika pia katika filamu ya Body of Proof sehemu ya 2 kipande cha 9 "Gross Anatomy" kama Ronan Gallagher iliyoanza kuonyeshwa nchini Marekani kuanzia 29 Novemba 2011 na nchini Uingereza kuanzia 1 Machi 2012.

Alihusika kama Kanali Elmer Ellsworth, mhanga wa kwanza katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Nchini marekani katika filamu ya mwaka 2012 kwa jina la Saving Lincoln.

Mwaka 2015, alihusika kama Brennan Jones, baba yake nahodha Hook, katika filamu iliyoonyeshwa na kampuni ya ABC kwa jina la ‘’Once Upon a Time’’.

Mwaka 2016, aliigiza sauti ya mhusikia katika wa mchezo wa video Ignis Scientia, mcezo huo unajulikana kwa jina la Final Fantasy XV.[6]

Adam Croasdell akiwa na Fred Tatasciore Pamoja na Yuri Lowenthal wakati wa kuzinduliwa kwa filamu ya Batman Ninja

Kazi za Sanaa

[hariri | hariri chanzo]
Filamu
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
1998 Tarzan and the Lost City Lewis
2000 Fatboy and Twintub Twintub Filamu fupi
2002 Flyfishing Phil
2004 Nature Unleashed: Avalanche Thom
2006 Attack Force Aroon
2006 True True Lie Shaun Rednik
2007 Too Much Too Young Baz Chambers
2007 God's Wounds Tony Clements
2008 The Prince and Me 3: A Royal Honeymoon Scott
2012 Werewolf: The Beast Among Us Stefan
2013 Saving Lincoln kanali Col. Elmer Ellsworth
2013 Stevie the Hopposaurus Msimuliaji Sauti pekee, Filamu fupi
2013 Extraction Alexi Vodanova
2016 Hatchet Hour Isaac "Izzy" Friedman
2016 Kingsglaive: Final Fantasy XV Ignis Scientia mhusika katika mchezo wa video sauti
2018 Batman Ninja Alfred Pennyworth]], Dick Grayson Sauti
Televisheni
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
1997 Natural Rhythm Joel Cunningham Sehemu hazifahamiki
2000 The Creatives Franck Kipande cha : "Lenny the Bruce"
2000 Holby City Marcus Sanders / Jason Hicks Kipande cha: "The Trouble with the Truth"
2001 Smack the Pony Wahusika tofauti tofauti Kipande cha 5
2001 Risk Jim Kipande cha: "Kim Goes Undercover"
2001 Peak Practice Tony Preston Kipande cha "#12.1" na "#12.2"
2001 Dark Realm Mike Kipande cha: "Johnny's Guitar"
2002 As If Tom Kipande cha: "Nicki's POV"
2002 London's Burning Fraser Kipande cha: "#2.1"
2002 The Project Josh Maonyesho ya televisheni
2003 Lenny Henry in Pieces Paul Kipande cha: "#2.1"
2003 Leonardo Michelangelo Kipande cha: "Dangerous Liaisons"
2005 Ultimate Force Pierre Du Preez Kipande cha: "Never Go Back"
2007 The Chase Sebastian Montgomery Uhusika unaojirudia, vipande 9
2008 Heartbeat Chaz Enderby Kipande cha: "The Devil Rides Out"
2008 Agatha Christie's Poirot Adam Goodman Kipande cha: "Cat Among the Pigeons"
2009–10 EastEnders Dr. Al Jenkins Vipande 43
2010 Supernatural Baldur Kipande cha: "Hammer of the Gods"
2011 Body of Proof Ronan Gallagher Kipande cha: "Gross Anatomy"
2012 Bond, James Bond James Bond Mhusika mkuu vipande 6
2013 NCIS: Los Angeles Jamal Avlurov Kipande cha: "The Chosen One"
2013 Nikita Kosta Bechiraj Kipande cha: "Brave New World"
2014–15 Doc McStuffins Wildlife Will Sauti pekee, kipande cha 2
2014–16 NCISS Angus Clarke Vipande 3
2015 Hot in Cleveland Mkubwa wa Cleveland Kipande cha: "We Could Be Royals"
2015 Guy Theory Aaron Alexander Kipande cha: "Perfect Storm"
2015 The Exes Chris Kipande cha: "Knotting Phil"
2015 Once Upon a Time Brennan Jones Kipande cha: "Swan Song"
2015 Change of Heart Jared Blasco Filami ya televisheni
2016 #TheAssignment Adam Mhusika mkuu, Vipande 14
2017 Reign James Hepburn Uhusika unaojirudia, vipande 10
2018 Preacher Eccarius na Les Enfants Du Sang Vipande 6
2018 Castlevania Sauti za kuongeza Filamu za mitandaoni; vipande 8
2020 Glitch Techs Count Nogrog Filamu za mtandaoni; Kipande cha: "Castle Crawl"
2020 Blood of Zeus Apollo Filamu za Mtandaoni; sauti pekee, vipande 3
Michezo ya Video
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
2010 James Bond 007: Blood Stone James Bond Picha za video
2012 Fable: The Journey Ghost No. 1 Sauti
2013 Dead Island: Riptide John Morgan Sauti
2014 Middle-earth: Shadow of Mordor Torvin Sauti
2015 The Order: 1886 Sauti za nyongeza Sauti
2016 Final Fantasy XV Ignis Scientia Sauti
2017 Halo Wars 2 Sauti zza nyongeza Sauti
2018 Fallout 76 Modus, Buck Nixon, James Waltz Sauti
2019 Judgment]] Murase Sauti
2019 Call of Duty: Modern Warfare Sauti ya nyongeza Sauti
  1. Spling. "Adam Croasdell on 'Hatchet Hour' - Interviews - SPLING - Movie Critic - Movie Reviews - Film News - Celeb Interviews". www.spling.co.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-14. Iliwekwa mnamo 2021-01-30.
  2. Woodward, Kate (5 Januari 2010), "Adam Croasdell is 'At your Mercy'!", Inside Soap, England, ku. 50–51{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 "Adam Croasdell plays Dr Al Jenkins". BBC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Mei 2009. Iliwekwa mnamo 2 Mei 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "EastEnders welcomes an 'Ilfracombe surfer'", This Is North Devon, 30 April 2009. Retrieved on 30 April 2009. Archived from the original on 3 May 2009. 
  5. "The Press Association: EastEnders doc plays Bond in Game". Google News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Novemba 2009. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Several English voice actors revealed for Final Fantasy XV - Nova Crystallis". 12 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adam Croasdell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.