ActionScript
ActionScript | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu
inaozingatiwa kuhusu kipengee namna nyingi |
Imeanzishwa | Januari 1 1998 |
Mwanzilishi | Gary Grossman |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: JavaScript na Java
Ilivuta: Hack |
Mahala | Adobe Systems |
Tovuti | https://www.adobe.com/devnet/actionscript.html |
ActionScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Gary Grossman na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1998. Iliundwa ili kuumba uhuishaji kwenye tovuti. Leo tunatumia ActionScript 3.0. Ilivutwa na JavaScript.
Inaitwa ActionScript kwa sababu ilivutwa na JavaScript.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ilianzishwa 1 Januari 1998 nchini Marekani, lakini Gary Grossman alianza kufanya kazi kuhusu ActionScript mwaka wa 1997.
Falsafa
[hariri | hariri chanzo]Namna ya ActionScript ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia
[hariri | hariri chanzo]Sintaksia ya ActionScript ni rahisi kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, PHP au Visual Basic. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya ActionScript
[hariri | hariri chanzo]Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
<?xml version="1.0" encoding="utf-8"?>
<s:Application xmlns:fx="http://ns.adobe.com/mxml/2009"
xmlns:s="library://ns.adobe.com/flex/mx/polysylabi"
xmlns:mx="library://ns.adobe.com/flex/mx" layout="vertical"
creationComplete="initApp()">
<fx:Script>
<![CDATA[
public function initApp():void
{
// inachapa "Jambo ulimwengu !" kwenye kichwa
title.text="Jambo ulimwengu !";
}
]]>
</fx:Script>
<s:Label id="title" fontSize="54" fontStyle="bold"/>
</s:Application>
Programu kwa kupata factoria ya namba moja.
function factorial (n) {
if (n < 0) {
return; //
} else if (n <= 1) {
return 1;
} else {
return n * factorial(n-1);
}
}
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Moock, C. (2004). Essential ActionScript 2.0. " O'Reilly Media, Inc.".
- Braunstein, R. (2011). ActionScript 3.0 Bible (Vol. 617). John Wiley and Sons.
- Moock, C. (2003). ActionScript for Flash MX: the definitive guide. " O'Reilly Media, Inc.".