Nenda kwa yaliyomo

Visual Basic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visual Basic
Shina la studio namna : inaozingatiwa kuhusu kipengee
Imeanzishwa Januari 1 1991 (1991-01-01) (umri 33)
Mwanzilishi Microsoft
Ilivyo sasa Ilivutwa na: Basic

Ilivuta: Visual Basic .NET, Gambas, Xojo, Basic4ppc and NS Basic

Mahala Microsoft Windows
Tovuti https://www.microsoft.com

Visual Basic au VB ni lugha ya programu. Iliundwa na Microsoft na ilianzishwa mwaka wa 1991. Iliundwa ili kuumba programu kwa Windows Microsoft. Leo tunatumia Visual Basic 6.0. Ilivutwa na Basic.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Ilianzishwa mwaka wa 1991 nchini Marekani. Alan Cooper alikuwa mtu aliyeshiriki kuumba Visual Basic.

Falsafa[hariri | hariri chanzo]

Namna ya Visual Basic ni ile inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia[hariri | hariri chanzo]

Sintaksia ya Visual Basic ni ngumu sana; inafananishwa na lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya Basic, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya Visual Basic[hariri | hariri chanzo]

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

Private Sub Form_Load()
  ' Inachapa sanduku ya ujumbe ambao inasema "Jambo ulimwengu !"
  MsgBox "Jambo ulimwengu !"
End Sub

Programu kwa kuchapa kifaa.

Option Explicit
Dim Count As Integer
Private Sub Form_Load()
  Count = 0
  Timer1.Interval = 1000 
End Sub
Private Sub Timer1_Timer()
  Count = Count + 1
  Label1.Caption = Count
End Sub

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Root, Randal; Romero Sweeney, Mary (2006). A tester's guide to .NET programming. Apress. p. 3. ISBN 978-1-59059-600-5. "You can choose a language based on how easy it is to learn. For beginners, Visual Basic is a good choice. [~snip] A big advantage of Visual Basic is that it is a popular language since it is easy to learn."
 • Microsoft Visual Basic Programmer's Guide Version 3.0 - Microsoft Corporation 1993 Denning, Adam (2015-06-22).
 • "Getting ready for Windows 10 – SDKs, compatibility, bridges". Building Apps for Windows blog. Retrieved 2015-08-02.