Abdel Rahman Badawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdel Rahman Badawi (kwa Kiarabu: عبد الرحمن بدوي; a 17 Februari 1917 - 25 Julai 2002) alikuwa profesa wa Misri katika masuala ya falsafa na mwandishi wa mashairi.

Aliandika zaidi ya vitabu 150, huku vitabu vyake vikiwa katika lugha za Kifaransa, Kiingereza, Kijerumani na Kihispania.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdel Rahman Badawi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.