Abdel-Halim Nowera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdel Halim Nowera
Amekufa 1985
Kazi yake Mtayarishaji wa muziki

JINA Faili:PICHA MAELEZO Amezaliwa 00.00.9999 ABC Amekufa 22.33.8888 MAHALI Nchi TAKATUKALAND Majina mengine ABC DEF Kazi yake POA

Abdel-Halim Nowera (aliuawa mnamo mwaka 1985) alikuwa Mtayarishaji wa Muziki na kiongozi wa muziki kwa ishara nchini Misri. Mnamo mwaka 1967 alianzisha Kampuni ya Muziki wa Kiarabu iliyopewa jina la Abdel Halim Nowera Ensemble kwa ajili ya Muziki wa jadi wa Kiarabu kama vile muwashshah na taktosha.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ragy H. Ibrahim and Munther Abdullatif Younes (2008). Learn Arabic the Fast and Fun Way. Barron's Educational Series (Foreign Language Study). uk. 97. ISBN 9780764140242. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdel-Halim Nowera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.