Nenda kwa yaliyomo

Abakasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abakasi

Abakasi (kutoka Kilatini na Kiingereza "abacus") ni kifaa maalumu chenye shanga kinachotumiwa kusaidia kuhesabu katika biashara na makadirio ya namba.

Abakasi huwa inatumiwa na watoto wa shule za awali kwa ajili ya somo la hisabati ili kuwarahisishia kuhesabu. Inaendelea kutumiwa pia katika maduka ya Ulaya Mashariki na Asia, ingawa nafasi yake mara nyingi imechukuliwa na kikokotozi dijitali

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abakasi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.