APTA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

APTA (kwa Kiingereza: W:EN:Asia-Pacific Trade Agreement) ni mapatano ya kibiashara katika Asia ambapo nchi wanachama ni kama ifuatavyo: China, India, Mongolia, Bangladesh, Sri Lanka, Korea ya Kusini, na Laos