2018 New Zealand Music Awards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo za muziki za 2018 New Zealand hii ilikuwa ni ghafla ya 53 inayofanyika kila mwaka inayoangazia tuzo za wasanii wa waliorekodi muziki ambao wanaoishi au wanaotoka New Zealand. Ilifanyika tarehe 15 Novemba 2018 katika uwanja wa Spark Arena huko Auckland na iliandaliwa na Kanoa Lloyd na Stan Walker. Kipindi cha tuzo kilitangazwa mubashara kwenye chaneli iitwayo "Three" ya huko New Zealand.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 2018 New Zealand Music Awards kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.