Nenda kwa yaliyomo

Mr Joel Joseph : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15: Mstari 15:
|Uraia = Mtanzania
|Uraia = Mtanzania
|image=File:Mr Puaz.jpg}}
|image=File:Mr Puaz.jpg}}
<big>'''Joel Vincent Joseph'''</big> (alizaliwa [[tarehe]] [[31 Machi]] [[1985]] [[Jiji|jijini]] [[Arusha]] , [[Tanzania|Tanzania)]] ni Meneja wa Muziki<ref>{{Citation|title=Hamornize atengana na meneja wake|date=2019-01-03|url=https://www.bbc.com/swahili/habari-46748076|language=en-GB|access-date=2019-01-21}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://amdb.co/artist/mr-puaz|title=Mr Puaz Biography, Songs & Albums|language=en|work=AMDb|accessdate=2019-01-24}}</ref>, [[Mwanamuziki|Mwanamuziki,]]<ref>{{Cite web|url=https://www.musicinafrica.net/directory/mr-puaz|title=Mr Puaz|date=2018-05-03|language=en|work=Music In Africa|accessdate=2019-01-21}}</ref> na Mjasiriamali kutoka [[Tanzania]]. Anafahamika kwa jina lingine liitwalo '''MR PUAZ''' ambalo hulitumia kama [[mwanamuziki]] katika sanaa yake. Mr Puaz ni msimamizi wa [[mwanamuziki]] kutoka [[Wasafi Records]] (WCB Wasafi) anayeitwa [[Harmonize]].
<big>'''Joel Vincent Joseph'''</big> (alizaliwa [[tarehe]] [[31 Machi]] [[1985]] [[Jiji|jijini]] [[Arusha]] , [[Tanzania|Tanzania)]] ni Mwanamuziki<ref>{{Cite web|url=https://informationcradle.com/africa/mr-puaz/|title=Mr Puaz Biography, Songs, Age, Lifestyle and family|date=2019-02-08|language=en-US|work=Informationcradle|accessdate=2019-02-08}}</ref> na Meneja wa muziki<ref>{{Citation|title=Hamornize atengana na meneja wake|date=2019-01-03|url=https://www.bbc.com/swahili/habari-46748076|language=en-GB|access-date=2019-01-21}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://amdb.co/artist/mr-puaz|title=Mr Puaz Biography, Songs & Albums|language=en|work=AMDb|accessdate=2019-01-24}}</ref>, [[Mwanamuziki|Mwanamuziki,]]<ref>{{Cite web|url=https://www.musicinafrica.net/directory/mr-puaz|title=Mr Puaz|date=2018-05-03|language=en|work=Music In Africa|accessdate=2019-01-21}}</ref> na Mjasiriamali kutoka [[Tanzania]]. Anafahamika kwa jina lingine liitwalo '''MR PUAZ''' ambalo hulitumia kama [[mwanamuziki]] katika sanaa yake. Mr Puaz ni msimamizi wa [[mwanamuziki]] kutoka [[Wasafi Records]] (WCB Wasafi) anayeitwa [[Harmonize]].


= Maisha ya awali na Elimu =
= Maisha ya awali na Elimu =

Pitio la 12:18, 8 Februari 2019

Mr Puaz
Faili:Mrpuaz.jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Joel Vincent Joseph
Amezaliwa 31 Machi 1985 (1985-03-31) (umri 39)
Aina ya muziki Bongo Flava
Kazi yake Mwanamuziki,Mwandishi ,Mwigizaji,
Miaka ya kazi 2002 mpaka Sasa
Studio Wasafi Records
Tovuti http://www.instagram.com/Mr_Puaz

Joel Vincent Joseph (alizaliwa tarehe 31 Machi 1985 jijini Arusha , Tanzania) ni Mwanamuziki[1] na Meneja wa muziki[2][3], Mwanamuziki,[4] na Mjasiriamali kutoka Tanzania. Anafahamika kwa jina lingine liitwalo MR PUAZ ambalo hulitumia kama mwanamuziki katika sanaa yake. Mr Puaz ni msimamizi wa mwanamuziki kutoka Wasafi Records (WCB Wasafi) anayeitwa Harmonize.

Maisha ya awali na Elimu

Joel amezaliwa jijini Arusha , Tanzania tarehe 31 mwezi wa tatu mwaka 1985, mahali wazazi wake wamekulia na kuishi. Alihitimu masomo yake ya sekondari mwaka 2005 Marangu Secondary School na kuingia chuo cha uhandisi wa kompyuta kiitwacho New Horizon institute na kupata shahada yake ya kompyuta. Baadae aliendeleza masomo yake kwa kuchuku kozi mbali mbali kwa kutumia elimu ya mtandaoni ( E- Learning ) na kujichukulia vyeti vya kozi mbali mbali ikiwemo Usimamizi wa Ajira kutoka Harvards Business Publishing ,

Maisha ya Kazi

Licha ya kuajiriwa katika makampuni mbali mbali yakiwemo Vodacom Tanzania Limited, MIC Tanzania Limited, Spice VAS Africa, Joel amekuwa mjasiriamali katika mambo mbali mbali ikiwepo upigaji picha [5] katika matukio mbali mbali ya burudani. Na zaidi Joel Joseph ni mmoja wa waanzilishi wa kampuni inayoitwa FRESH 120 MEDIA LTD.

Maisha ya Kimuziki

Mr Puaz[6] ameanza muziki akiwa na miaka 21, Alikuwa akijihusisha na kuimba nyimbo za wasanii wengine ( Cover Songs ) ambapo ilimpelekea kujua kwamba anauwezo wa kuimba hivyo kutunga nyimbo zake mwenyewe. Mwaka 2005 Mr Puaz aliingia kurekodi wimbo wake wa kwanza uitwao "SWEET BABY " iliyorekodiwa chini ya studio za Grandmaster Records zilizopo jijini Arusha,Tanzania.2006 alishiriki kutoa wimbo mwingine akiwa katika kundi akitumia jina Nizzo B. wimbo huo unaitwa "USIKU WA LEO" kazi ambayo imefanya vizuri kwenye Purebreak chart kubwa za Ufaransa.

Discography

Jina la wimbo Mwaka
"Sweet Baby" 2004
"Usiku wa leo" 2005

Marejeo

  1. "Mr Puaz Biography, Songs, Age, Lifestyle and family". Informationcradle (kwa American English). 2019-02-08. Iliwekwa mnamo 2019-02-08.
  2. Hamornize atengana na meneja wake (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2019-01-03, iliwekwa mnamo 2019-01-21
  3. "Mr Puaz Biography, Songs & Albums". AMDb (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-01-24.
  4. "Mr Puaz". Music In Africa (kwa Kiingereza). 2018-05-03. Iliwekwa mnamo 2019-01-21.
  5. http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/get-to-know-more-about-the-multi-talented-mr-puaz
  6. "Tanzanian singer 'to publish music business book'". Music In Africa (kwa Kiingereza). 2018-08-09. Iliwekwa mnamo 2019-01-24.


Viungo vya nje