Wilaya ya Ukerewe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Ukerewe (kijani) katika mkoa wa Mwanza.
Wilaya ya Ukerewe ni wilaya moja ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 261,944 [1].
Eneo la wilaya hii iko kwenye visiwa ndani ya ziwa Viktoria Nyanza hasa visiwa viwili vikubwa vya Ukerewe na Ukara pamoja na visiwa vidogo.
Marejeo [hariri]
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ukerewe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Ukerewe - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bukanda • Bukiko • Bukindo • Bukongo (Ukerewe) • Bukungu • Bwiro • Bwisya • Igalla • Ilangala • Irugwa • Kagera (Ukerewe) • Kagunguli • Kakerege • Mukituntu • Muriti • Murutunguru • Nakatunguru • Namagondo • Namilembe (Ukerewe) • Nansio • Nduruma (Ukerewe) • Ngoma (Ukerewe) • Nkilizya • Nyamanga |
||
[[bg:Укереве]