Wikipedia:Community Portal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukarasa huu ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaotaka kuboresha kamusi hii.


Ukitaka msaada wa kusanifisha makala, angalia hapo.


Bado kuna makala kuu ambazo zimeunganishwa na ukarasa wa mwanzo, lakini hazijaandikwa. Ni muhimu tuziandike kwanza karasa hizo:

Majenzi, Usanifu, Fasihi, Ushairi, Bombwe, Ngoma, Jiografia, Arkiolojia, Unajimu, Biolojia, Kemia, Utibabi, Elimu, Sayansi, Teknolojia, Siasa, Astrolojia

Kuna makala chache ambazo zimeandikwa kwa lugha ya kidini. Sisi tunataka kuandika kamusi elezo, na kwa hiyo ni lazima makala ziandikwe kwa lugha ya kisayansi, kwa sababu watu hawawezi kukubaliana kuhusu mambo ya dini. Kwa hiyo tubadilishe makala hizo zisiwe kwa lugha ya kidini:

Historia, Sheria


Ili kuboresha mtandao huu, ni lazima tutafsiri sehemu zote ambazo bado ni kwa Kiingereza. Siku hizi, Marcos anafanya kazi hiyo. Ukitaka kumsaidia, au ukiona makosa katika tafsiri yake, umwarifu hapo.