Vincent Ferrer
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vincent Ferrer (alizaliwa Valencia, Hispania, takriban 1350 – akafariki Nantes, Ufaransa tarehe 5 Aprili 1419) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa Shirika la Wahubiri.
Alisaidia kukomesha Farakano la magharibi.
Mwaka 1455 alitangazwa na Papa Callixtus III kuwa mtakatifu.
Sikukuu yake ni 5 Aprili.
Yaliyomo |
Viungo vya nje [hariri]
Hotuba zake katika tafsiri ya Kifaransa [hariri]
- Vincent Ferrer (saint), Sermons, Éditions de la Merci, 2010 (ISBN 9782953191752)
Vitabu juu yake [hariri]
- The Life and Miracles of St. Vincent Ferrer: The "Angel of the Apocalypse"
- Stanislaus M. Hogan, Saint Vincent Ferrer O.P. (London: Longmans, Green and Co., 1911).
- Andrew Pradel, St. Vincent Ferrer, of the Order of Friar Preachers: His life, spiritual teaching, and practical devotion, trans. by T. A. Dixon (London: R. Washbourne, 1875). (The French original received its imprimatur in 1863.)
Makala [hariri]
- Albert Reinhart, ‘St. Vincent Ferrer’ in The Catholic Encyclopedia (New York: Robert Appleton Company, 1912).
- John Gilmary Shea, ‘Saint Vincent Ferrer’ in Little Pictorial Lives of the Saints (New York: Benziger Brothers, 1894).
- Terry H Jones, ‘Saint Vincent Ferrer’ in Saints.SQPN.com (Star Quest Production Network).
- ‘St. Vincent Ferrer’ in Saints and Angels (Catholic Online).
- ‘Vincenzo Ferreri, in spagnolo Vincente Ferrer: storia di un santo’ (Città di Mercato S. Severino).
- Celebrations for San Vicente Ferrer in Valencia, Spain
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vincent Ferrer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |