Tarcisius Ngalalekumtwa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarcisius Ngalalekumtwa (amezaliwa 25 Oktoba 1948) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1989. Tangu mwaka wa 1992, ni askofu wa Jimbo la Iringa.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tarcisius Ngalalekumtwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |