Servando na Jermano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu zao huko Cadiz.

Servando na Jermano walikuwa askari Wakristo wa Merida, Hispania waliouawa huko Cadiz[1] [2] , Andalusia, mwaka 304 hivi, wakati wa dhuluma ya Kaisari Dioklesian[3].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini[4].

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 23 Oktoba[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.