Peninsula ya Korea
|
|
Unganisha! Imependekzwa makala hii iunganishwe na Rasi ya Korea. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Makala hii imetiwa alama tangu tarehe July 2010. |
| Peninsula ya Korea | |
|---|---|
![]() |
|
Peninsula ya Korea ni peninsula iliopo Asia ya Mashariki. Imepanuka kuelekea upande wa kusini kwa takriban maili 684 (1,100 km) kutoka barani Asia hadi katika Bahari ya Pasifiki na imezungukwa na Bahari ya Japani (pia inaitwa Bahari ya Mashariki) kwa upande mashariki, Bahari ya Uchina ya Mashariki upande wa kusini, na Bahari ya Manjano upande wa magharibi, kwenye Mlango wa Korea unaounganisha njia mbili za kwanza za maji.
Hadi mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Korea ilikuwa sehemu moja ya kisiasa ambayo kwa haraka-haraka ilipata kugonga hadi kwenye eneo la Peninsula ya Korea. Tangu kusimamishwa kwa Vita ya Korea mnamo 1953, nusu ya sehemu ya kaskazini ilikuwa imechukuliwa na Korea Kaskazini, wakati nusu ya kusini ilichukuliwa na Korea Kusini.
Mipaka ya kaskazini ya Peninsula ya Korea inaeleweka kikawaida kwamba imepakana baina ya Korea Kaskazini na majirani zake wa kaskazini, Uchina (1,416 km ikiwa pamoja na mikoa ya Jilin na Liaoning) na Urusi (19 km). Mipaka hii imejiumba kiasili na mito ya Yalu/Amnok na Tumen/Tuman/Duman. Kwa kuchukua ufafanuzi huu, Peninsula ya Korea (ikiwa pamoja na visiwa vyake) ina eneo la kilomtia za mraba zipatazo 220,847 (85,270 sq mi).
Yaliyomo |
[hariri] Tanbihi
[hariri] Marejeo
- KOIS (Korea Overseas Information Service) (2003). Handbook of Korea, 11th ed.. Seoul: Hollym. ISBN 1-56591-212-8.
- Lithuanian lake similar to the Korean Peninsula kaibab gordian
[hariri] Tazama pia
- Korea
- Korea Kaskazini (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea)
- Korea Kusini (Jamhuri ya Korea)
[hariri] Viungo vya Nje
- Location of The Korean Peninsula - The Official Korea Tourism Guide Site
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Peninsula ya Korea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
