Natei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Natei (pia: Nahi, Naithi, Nathi, Nathy, Nathias, Nathineus; aliishi Ireland karne ya 6 hivi, labda 529 - 610) alikuwa mmonaki, halafu abati na askofu huko Achonry [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 9 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Félire Óengusso
  • Lives of St Féchín of Fore
  • Lives of St Finnian of Clonard
    • Irish Life, ed. Whitley Stokes, Lives of the Saints from the Book of Lismore. Oxford, 1890. Vol. 2.
    • Latin Life in the Codex Salmanticensis (fols. 83r-86v), ed. J. De Smedt and C. De Backer, Acta Sanctorum Hiberniae ex codice Salmanticensi. Edinburgh et al., 1888. Cols 189–210.
    • Latin Life in Bodleian, MS. Rawlinson B. 485 (fols. 54–8), and MS. Rawlinson B. 505 (fols. 156v-160v). Unpublished.
  • John Colgan, Vita S. Corbmaci, abbatis ("Life of St Cormac, abbot"), Acta Sanctorum Hiberniae. Louvain, 1645. 26 March.
  • Life of St Attracht
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.