Mkoa wa Zanzan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Zanzan |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Zanzan katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 8°30′N 3°15′W / 8.5°N 3.25°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 7 |
| Mji mkuu | Bondoukou |
| Eneo | |
| - Mkoa | 38.131 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 700.999 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Zanzan (far.: Région du Zanzan) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 700.999. [1]
Kuna wilaya 7 ambazo ni
Makao makuu yako Bondoukou.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Zanzan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |