Mkoa wa Lagunes
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Lagunes |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Lagunes katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 5°25′N 4°20′W / 5.417°N 4.333°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 7 |
| Mji mkuu | Abidjan |
| Eneo | |
| - Mkoa | 12.949 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 3.733.362 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Lagunes (far.: Région des Lagunes) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika Kusini ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 3.733.362. [1]
Kuna wilaya 7 ambazo ni
Makao makuu yako Abidjan.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lagunes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |