Mkoa wa Lacs
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Lacs |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Lacs katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 6°50′N 5°10′W / 6.833°N 5.167°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 5 |
| Mji mkuu | Yamoussoukro |
| Eneo | |
| - Mkoa | 8.663 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 476.173 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
Mkoa wa Lacs (far.: Région des Lacs) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 476.173. [1]
Kuna wilaya 5 ambazo ni
Makao makuu yako Yamoussoukro.
Marejeo [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lacs kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |