Mkoa wa Bas-Sassandra
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mkoa wa Bas-Sassandra |
|
| Nembo ya Cote d'Ivoire | |
| Mahali pa Mkoa wa Bas-Sassandra katika Cote d'Ivoire | |
| Anwani ya kijiografia: 5°30′N 6°40′W / 5.5°N 6.667°W | |
| Nchi | |
|---|---|
| Wilaya | 5 |
| Mji mkuu | San-Pédro |
| Eneo | |
| - Mkoa | 26.969 km² |
| Idadi ya wakazi (1998) | |
| - Mji | 1.395.233 |
| Time zone | GMT (UTC+0) |
| [1] | |
Mkoa wa Bas-Sassandra (far.: Région du Bas-Sassandra) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire. Iko katika kusini-magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.395.233. [2].
Kuna wilaya 5 ambazo ni
Makao makuu yako San-Pédro.
Marejeo [hariri]
- ↑ Ivory Coast Cities Longitude & Latitude. sphereinfo.com. Rudishwa juu ya 18 Novemba 2010.
- ↑ Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na
|
|
|
|---|---|
| Agnéby | Bafing | Bas-Sassandra | Denguélé | Fromager | Haut-Sassandra | Lacs | Lagunes | Marahoué | Montagnes | Moyen-Cavally | Moyen-Comoé | N'zi-Comoé | Savanes | Sud-Bandama | Sud-Comoé | Vallée du Bandama | Worodougou | Zanzan | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bas-Sassandra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |