Mto Mississippi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mississippi (mto))
Chanzo | Ziwa Itasca, Minnesota - Marekani kwa 47°15'N 95°12'W |
Mdomo | Ghuba ya Meksiko - Atlantiki |
Nchi | USA |
Urefu | 3,780 km |
Kimo cha chanzo | 450 m |
Mkondo | 18,000 m³/s |
Eneo la beseni | 3,238,000 km² |
Miji mikubwa kando lake | Minneapolis, St. Paul, St. Louis, Memphis, Tennessee, Baton Rouge, LA, New Orleans |
Mto Mississippi ndio mto mkubwa wa Marekani ni pia kati ya mito mirefu zaidi duniani kote.
Chanzo chake kipo kaskazini mwa Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la Minnesota. Inapita majimbo ya Minnesota, Wisconsin, Iowa, Illinois, Missouri, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Mississippi, Louisiana na kuishia katika ghuba ya Meksiko karibu na mji wa New Orleans.
Matawimto muhimu
[hariri | hariri chanzo]Beseni la Mississippi ni sehemu kubwa ya eneo la Marekani. Matawimto muhimu ni:
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|