Marita van der Vyver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Marita van der Vyver
Alizaliwa 1958,Cape Town, Western Cape
Nchi Afrika ya Kusini
Kazi yake Mwandishi
Ndoa Ameolewa
Watoto Tatu

Marita van der Vyver ( 6 Mei 1958) ni mwandishi wa Kiafrikaans. Tangu mwaka 1999, anaishi nchini Ufaransa na mumewe pamoja na watoto watatu.[1] Van der Vyver aliandika mkusanyiko wa insha za kuchekesha zenye maelezo ya kina kuhusu maisha katika nchi ya Ufaransa, iliyopewa jina la Die hart van ons huis mnamo mwaka 2004.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Biography". maritavandervyver.info. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-23. Iliwekwa mnamo 2014-04-06. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marita van der Vyver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.