Nenda kwa yaliyomo

Mariah Carey (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mariah Carey
Mariah Carey Cover
Studio album ya Mariah Carey
Imetolewa 12 Juni 1990 Marekani
17 Julai 1990 Ufalme wa Muungano
Imerekodiwa Desemba 1988 – Aprili 1990
Aina Pop, R&B
Urefu 46:45
Lebo Columbia
CK-45202
Mtayarishaji Mariah Carey, Rhett Lawrence, Ric Wake, Narada Michael Walden, Ben Margulies, Walter Afanasieff, Tommy Mottola (executive)
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Mariah Carey
Mariah Carey
(1990)
Emotions
(1991)


Mariah Carey ni albamu kutoka kwa Mariah Carey yenye jina lake mwenyewe, iliyotoka nchini Marekani tarehe 12 Juni 1990, kupitia katika studio za Columbia Records. Japokuwa mauzo ya albamu hii kwa kiasi fulani yalikuwa madogo, lakini yalimafanya Carey kuwa nyota nyumbani kwao. Albamu hii ilifanikiwa kufikisha nyimbo kadhaa katika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard.ya single bora 100, huku albamu yenyewe ikikaa kwa kipindi cha majuma kumi na moja katika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard 200. Albamu hii inashika nafasi ya ttu kwa upande wa mauzo ya albamu za Carey nchini Marekani, ikija baada ya ile ya Daydream ya mwaka 1995 na ile ya Music Box ya mwaka 1993. Albamu hii imefanikiwa kuuza nakala zaidi ya milioni 15 dunia nzima, .[1]

Mapokezi

[hariri | hariri chanzo]

Albamu ya Mariah Carey ilifanikiwa kufanya vizuri katika chati ya nchini Marekani ya Billboard 200 na kufika hadi nafasi ya 80, na kuingia katika nyimbo ishirini bora katika juma la nne tangu iwe katika chati hiyo na hatimaye ilifika katika nfasi ya kwanza katika juma la arobaini na tatu, na kushikilia nafasi hio kwa kupindi cha majuma kumi na moja mfululizo. Hadi hii leo ,hii ndio albamu ya Carey iliyowahi kukaa katika nafasi ya kwanza kwa kipindi kirefu zaidi. wimbo huu uliendelea kukaa katika nyimbo ishirini bora kwa kipindi cha majuma sitini na tano, na kukaa katika nyimbo mia moja bora za Billboard kwa kipindi cha mjuma 113. Kwa mujibu wa shiria laRIAA Albamu ya hii kutoka kwa Carey ni moja ya albamu zilizowahi kupata mauzo mazuri zaidi nchini Maekani, na hadi kufikia mwezi Machi mwaka 2006,albamu hii ilikuwa tayari imekwisha kuuza nakala zaidi ya milioni nane nchini Maekani. [2] Pia ilikuwa albamu iliyoongoza kwa mauo kwa mwaka 1991 chini Marekani =.[3].

Lakini mafanikio ya albamu hii nje ya Marekani yalikwa ya wastani, lakini kwa uchache iliweza kupata mafanikio katika nchi za Canada ambapo ilikaa katika nafasi ya kwanza kwa wiki moja. .Albamu hii ilifika katika nafasi ya ita nchini Uingereza na Australia.

Single kutoka katika albam ya Mariah Carey hazikupata mafanikio katika masoko mengi tofauti na masoko ya Marekani, na kumafanya Carey kung'aa katika maeneo hayo

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo zote ziliandikwa na Carey kwa kushirikiana na Ben Margulies, isipokuwa baadhi.

  1. "Vision of Love" – 3:30
  2. "There's Got to Be a Way" (Carey, Ric Wake) – 4:54
  3. "I Don't Wanna Cry" (Carey, Narada Michael Walden) – 4:49
  4. "Someday" – 4:08
  5. "Vanishing" – 4:12
  6. "All in Your Mind" – 4:46
  7. "Alone in Love" – 4:12
  8. "You Need Me" (Carey, Rhett Lawrence) – 3:52
  9. "Sent from up Above" (Carey, Lawrence) – 4:05
  10. "Prisoner" – 4:25
  11. "Love Takes Time" – 3:49
Chart Ilipata
nafasi
Certification Sales/shipments
Australian Albums Chart[4] 6 2x Platinum 140,000[5]
Canadian Albums Chart[6] 1 7x Platinum 700,000[7]
Dutch Albums Chart[8] 5 Platinum 100,000[9]
Finnish Albums Chart[10] 13
French Albums Chart[11] 17
German Albums Chart[12] 24
Hungarian Albums Chart[13] 35
Italian Albums Chart[14] 24 Gold 50,000[15]
Japanese Albums Chart[16] 13 Million 1,000,000[17]
New Zealand Albums Chart[18] 4 4x Platinum 60,000[19]
Norwegian Albums Chart[20] 4
Spanish Albums Chart[21] 35
Swedish Albums Chart[22] 8 Platinum 100,000[23]
Swiss Albums Chart[24] 15 Gold 25,000[25]
UK Albums Chart[26] 6 Platinum 300,000[27]
U.S. Billboard 200[28] 1 9x Platinum 9,000,000[29]
  1. About Mariah Carey
  2. Frere-Jones, Sasha. "On Top: Mariah Carey’s record-breaking career". The New Yorker. 3 Aprili 2006.
  3. The Billboard 200 1991
  4. Australian Albums Chart
  5. ARIA
  6. Canadian Albums Chart
  7. "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  8. Dutch Albums Chart
  9. "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  10. "Finnish Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-03. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  11. French Albums Chart
  12. "German Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-16. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  13. "Hungarian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-08. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  14. "Italian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  15. FIMI
  16. Oricon Albums Chart
  17. RIAJ
  18. "New Zealand Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-27. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  19. "RIANZ". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  20. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  21. Spanish Albums Chart
  22. Swedish Albums Chart
  23. "IFPI Sweden". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  24. Swiss Albums Chart
  25. IFPI Switzerland
  26. UK Albums Chart
  27. BPI
  28. "U.S. Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-04. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
  29. RIAA